RASHID BUMARWA (DJ.R)
Friday, March 15, 2013

RAIS KIKWETE AKUSANYA ZAIDI YA MILIONI 250 KATIKA HARAMBEE YA KUJENGA KANISA MOROGORO

›
Rais Kikwete akiendesha harambee Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete aliendesha harambee ya kuchangia ujen...

MICHEZO: TANZANIA YAPANDA NAFASI 8 KATIKA VIWANGO VYA FIFA

›
  Timu ya taifa ya Tanzania imepanda kiwango kwa nafasi 8 na katika viwango vya Afrika imepanda kwa nafasi 33.Kwa sasa Tanzania ni ya 119 ...

Breaking news:WAHAMIAJI HARAMU 32 WAKAMATWA MKOANI RUKWA

›
Taarifa zilizotufikia hivi punde nikwamba Idara ya Uhamiaji mkoani Rukwa inawashikilia watu 32 wanao tuhumiwa kuwa wahamiaji haramu wali...

UCHIMBAJI HARAMU WA MADINI KANDO MWA MTO RUVU

›
Wakazi wa kijiji cha Kibangile, Morogoro vijijini wakiwa wanaendelea na uchimbaji haramu wa madini.  Kumekuwa na kasumba ya wananchi kul...
Thursday, March 14, 2013

RAIS KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA WAISLAM CHA MOROGORO

›
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete leo asubuhi ametembelea Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) Jeng...

PAPA MPYA APATIKANA HUKO VATICAN

›
Papa Jorge Mario Bergoglio akisalimiana na Papa aliyejiuzulu. Hatimaye ile kazi ya kumchagua papa mrithi wa Papa Benedict XVI aliyeji...
Monday, March 11, 2013

BALOZI WA IRELAND ATEMBELEA MIRADI YA MAJI MOROGORO

›
Balozi wa Ireland akipokea maelezo kutoka kwa Mkurugenzi mtendaji wa MORUWASA Ndg.John.K.Mtaita.  Balozi wa Ireland leo asubu...
Friday, March 8, 2013

KIKAO CHA BODI YA MAJI CHAFANYIKA MOROGORO

›
Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Bonde la Wami/Ruvu Ndg.Washington Mutayoba na kulia ni Katibu wa Bodi Bi.Plaxeda Kalugendo Kikao cha Bo...

SIKU YA WANAWAKE YAFANA MOROGORO

›
Baadhi ya wanawake wa MORUWASA na Ofisi Za Bonde la Wami /Ruvu wakiwa tayari kuelekea kwenye maandamano. Katika kusherehekea siku ya w...

UHAMASISHAJI JUU UTUNZAJI WA RASILIMALI MAJI BONDE LA WAMI/RUVU

›
Afisa Maendeleo ya Jamii Bonde la Wami/Ruvu Bi.Nickbar Mwanana Ally akitoa mada wakati wa uelimishaji juu ya zana shirikishi katika usimam...
‹
›
Home
View web version

ALL ABOUT ME

rashid bumarwa
View my complete profile
Powered by Blogger.