RASHID BUMARWA (DJ.R)
Thursday, January 31, 2013

HABARI ZILIZOVUNJIKAVUNJIKA:JAHAZI SUNRISE YAZAMA NUNGWI ZNZ

›
Jahazi SUNRISE ambayo ilikuwa ikitokea Mkoani Tanga kulekea visiwani Zanzibar ikiwa na abiria 32 imezama eneo la Nungwi huku jitihada z...

KIKOSI CHA TAIFA STARS KITAKACHOIVAA CAMEROON CHATAJWA,MAFTAH NA TEGETE WATOSWA.

›
Tegete kushoto akiwa na Kiiza Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametaja kikosi cha wachezaji 21 kitakachoingia kambini Jumap...

MTUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANGOSI NA MAASKARI WENZAKE WAMCHEFUA HAKIMU.

›
Mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi akiwa katika viwanja vya Mahakama Askari waliomleta mahakamani mtuhumiwa askari  wa FFU mwenye namba...
Wednesday, January 30, 2013

WATUMISHI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WAPATA AJALI

›
Gari la Wizara lililopinduka Watumishi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wapata ajali kilometa ishirini kabla ya kufika mkoa wa Dod...

MVUA ZILIZONYESHA JANA MOROGORO

›
Bwawa la Mindu Jana kulinyesha mvua kubwa sana Mjini Morogoro kiasi cha kuwasababishia madhara baadhi ya wakazi wa Manispaa wanaois...

TAIFA STARS KUKIPIGA NA CAMEROON

›
Kikosi cha Taifa stars Timu ya taifa mpira wa miguu ya Tanzania Taifa stars inatarajiwa kucheza mchezo wake wa kirafiki na timu ya ta...

UKAME MKALI WAIKUMBA MOROGORO

›
Bwawa la Mindu likiwa limekauka kwa ukame Hali ya mji wa Morogoro inazidi kuwa mbaya baada ya kutonyesha mvua kwa muda mrefu.Ukame ...
Monday, January 28, 2013

LULU ARUDISHWA RUMANDE

›
Lulu akiwa na mwigizaji mwenzake Ray kabla ya kwenda mahabusu. Katika hali isiyo ya kwawaida mwigizaji Elizabert Michael a.k.a Lulu...

HABARI ZILIZOVUNJIKA:LULU APEWA DHAMANA

›
Habari zilizopatikana hivi punde kutoka mahakamani zinasema kuwa Lulu amepewa dhamana na Mahakama kuu ya Tanzania baada ya mawakili wa...

›
WIZARA YA AFYA NA AFYA YA JAMII.  Wizara ya afya na ustawi wa jamii katika kuhakikisha kuwa inaboresha afya ndani ya jamii, imetangaz...
‹
›
Home
View web version

ALL ABOUT ME

rashid bumarwa
View my complete profile
Powered by Blogger.